Rais Kikwete azindua miradi

Rais Kikwete azindua miradi

ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amekuwa mkoani Kagera kukagua shughuli mbali mbali za maendeleo ambapo kati ya tarehe 26 – 28 Julai 2013, alizindua miradi mitatu mikubwa ya ujenzi. Miradi iliyozinduliwa ni kama ifuatavyo:   Uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kagoma – Lusahunga yenye urefu wa kilometa 154. Uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kyaka – Bugene yenye urefu wa kilometa 59.1 Ufunguzi wa Kivuko cha Ruvuvu

Leave a Reply

Close Menu